TASWIRA ZA MWANAMUZIKI WA INJILI NCHINI TANZANIA FROLA MBASHA AKIWA WASHINGTON DC MAREKANI KWA SHOW - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA MWANAMUZIKI WA INJILI NCHINI TANZANIA FROLA MBASHA AKIWA WASHINGTON DC MAREKANI KWA SHOW

Flora Mbasha akiwa na Mume wake Mpenzi muda mchache kabla hawajaanza safari ya kuelekea Marekani kwa ajili ya ziara yao ya kueneza Injili kwa njia ya uimbaji. Akiwa anawaaga ndugu jamaa na marafiki katika Ukurasa wake wa Facebook aliandika hivi:
 
"Bwana Yesu asifiwe rafiki zangu, ninapenda kuwaaga, tunasafiri kwenda Nchini Marekani tutakuwa na ziara huko. tunahitaji maombi yenu sana, tutakuwa tukiwajulisha kila kinachoendelea huko. tunawapenda sana. mbarikiwe. Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe, aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa"
Wakiwa wamefika Marekani na kupokelewa na wenyeji wao 
Ilikuwa ni kipindi ambacho John Gibson anaandika nyimbo ambazo Florah Mbasha atatumbuiza usiku huo
Wakiendelea kumsifu Bwana kwa nyimbo za Injili .CREDITS WATANZANIA UGHAIBUNI BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages