BASI LA PRINCES MURRO LAPATA AJALI MAENEO YA SENJELE MBEYA, MTU MMOJA APOTEZA MAISHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BASI LA PRINCES MURRO LAPATA AJALI MAENEO YA SENJELE MBEYA, MTU MMOJA APOTEZA MAISHA

Tukio zima la Ajali mbaya la basi la Prince Muro iliyotokea jana Usiku maeneo ya Senjele likielekea Tunduma. Mwendo kasi ndio chanzo cha ajali hiyo mtu mmoja amefariki na wengine 14 ni majeruhi 
 
Majeruhi ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema kwamba dereva huyo alikuwa mwendo kasi tangia walipo fika mikumi, Wameendelea kudai kwamba walimpa onyo mala kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliza na akaongeza mwendo kasi zaidi mpaka walipo pata ajali hiyo maeneo ya Senjele kuelekea Tunduma. Habari kamili itakuja mpaka sasa kuna majeruhi 14 na mtu mmoja amefariki Dunia
Hivi ndivyo inavyo onekana Damu na viti kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyo tokea jana usiku
Basi hilo likiwa limeharibika upande wa mbele kama inavyoonekana kioo cha mbele. Picha kwa hisani ya http://mbeyayetu.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages