Mtoto
Shabani Issa ni mzaliwa wa kijiji cha Chinokole wilayani Ruangwa
anaomba msaada wa hali na mali ili aweze kupata matibabu na kuondolewa
uvimbe katika jicho lake. Maisha yake ni duni anaishi na babu yake.Siku
zinazavyozidi kwenda na uvimbe unazidii kuongezeka.
"Pls Pls toa chochote kufanikisha matibabu ya kijana huyu"
Piga simu au tuma Mchango wako kwa
Victor Richard - 0755754494 na 0715 754494
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)