MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UTAFITI BINGWA WA MASOKWE DUNIANI, JANE GOODALL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UTAFITI BINGWA WA MASOKWE DUNIANI, JANE GOODALL

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya
ya Mpanda mkoa wa Katavi jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha mtafiti bingwa duniani wa Masokwe, Jane Goodall, aliyefika Ikulu ndogo ya Wlaya ya Mpanda mkoa wa Katavi jana  kwa ajili ya mazungumzo. Jane amekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti katika mapori ya Gombe na Mahale yaliyopo mkoa wa Kigoma na Katavi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mtafiti bingwa wa Masokwe Duniani, aliyekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti wa Masokwe katika Mapori ya Gombe na Mahale, Jane Goodall, wakati alipofika Ikulu ndogo Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa ajili ya mazungumzo jana.
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages