ZANTEL YAZINDUA HUDUMA YA EZY PESA JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

ZANTEL YAZINDUA HUDUMA YA EZY PESA JIJINI DAR


Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Juma Reli (kushoto ) akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Zantel Tanzania, Ali Bin Jarsh wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel  jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels. 
Ofisa biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kutoka kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Bin Jarsh, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles
Mutalemwa wakizundua  huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Wasanii wa Tanzania House of Talent, wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel  jijini Dar es Salaam jana jioni
Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles Mutalemwa, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Ali Bin Jarsh na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages