TWIGA STARS YAPIGWA JEKI SH MILIONI 7 NA TIMU YA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TWIGA STARS YAPIGWA JEKI SH MILIONI 7 NA TIMU YA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza kabla ya kukabidhi kitita cha sh. milioni 7 kwa wachezaji wa Twiga Stars.
Kikosi cha timu ya Bunge SC kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’, ambao ulikuwa ni maalumu kuichangia timu hiyo uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Twiga Stars imeshinda 2-1.
Wachezaji wa Bunge SC, Halima Mdee na William Ngeleja, wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mlinzi wa timu ta Twiga Stars, Siajabu Hassan akimtoka mshambuliaji wa Bunge SC, Adam Malima.

Kikosi cha Twiga Stars kikiwa katika picha ya pamoja.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi, akipeana mkono na mshambuliaji wa Twiga Stars, Mwanahamis Omari.
Nahodha wa timu ya Twiga Stars, Sophia Mwasikili, akionesha kitita cha sh. milioni 7 baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri, Ummy Mwalimu (kulia).Picha Kwa HIsani ya Father Kidevu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages