Founder Wa ICollege Journal Unu Kingamkono Akifanya mTalent inayoendelea usiku huu katika ukumbi wa Breakpoint ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma.
Kijana akiwa katika Show ya Udom King of talent akipiga gitaa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kijana huyu abatizwa jina la AKA Makochali kwa ustadi wa kuchalanga gitaa.
Msanii Chipukizi Kutoka Udom akifanya vitu vyake katika show ya UDOM king of talent inayoendelea usiku huu katika kafteria ya breakpoint
Dj akicheza na Mitambo hapo wakati wa show ya UDOM king of talents inayoendelea kufanyika usiku huu katika kafteria ya breakpoint ndani ya chuo kikuu cha dodoma
Baadhi ya Wadau Waliohudhuria Show hiyo ya Udom King Of Talents
Mwanzilishi wa I College Journal Ngwinula Unu KingaMkono (wa kwanza Kushoto) akiwa na mdau Masawe (katikati) na rafiki yao mpendwa katika sho ya Udom King of Talents
Mdau Eliud kaawala (wa kwanza kulia)akiwa amejiachia mbele ya kamera ya lukaza blog huku noel lucas naye akifuatilia kwa makini show nzima ya king of talents UDOM





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)