Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza
na wanafunzi waislamu waliofanya maandamano ya amani na kukusanyika
katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kupinga
Uongozi wa Shule ya Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu
waliokuwa wakisoma katika shule hiyo.
Rais wa Wanafunzi wa kiislamui, Jafari Mneto akizungumza katika viwanja
vya Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam baada ya Wanafunzi wa
Kiislamu kufanya maandamano ya amani.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akiwasili
katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kuzungumza
na wanafunzi wa kiislam waliokuwa wameandamana leo kupinga Uongozi wa
Shule ya Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu waliokuwa
wakisoma katika shule hiyo.
Rais wa Wanafunzi wa kiislamui, Jafari Mneto akizungumza katika viwanja
vya Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam baada ya Wanafunzi wa
Kiislamu kufanya maandamano ya amani.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Suleima Kova akiagana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa mara baada ya
kuzungumza na wanafunzi wa Kiislamu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)