nafasi za ajira nchini australia kwa wahandisi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

nafasi za ajira nchini australia kwa wahandisi

wa heshima kubwa naomba nitumie blo Globu yetu ya Jamii kuwafahamisha Watanzania wenzetuna wengineo kuwa kuna nafasi za  ajira nchini Australia kwa  wale  wenyesifana consultancy experience katikamaeneoyafuatayo:

1.Civil Designing Engineering2. Structural Engineering3. Mechanical Engineering4. Geotechnical Engineering5. Geologists

Kwa Mining na Design Engineering  mshahara ni kati ya $60K- 160K kwamwaka ,wataweza kupata  nyongezahadikufikia $250K  kilawanapoendela  kupata  uzoefuwa Australian projects .Kwaupandewa  Building services industry mshaharanikati ya $50K -$100K .

Kwamaelezozaidiandika  email kwenda  :abroadstudies@yahoo.com ili pia uweze kutumiwa fomu za  awali za maombi ya  ajira.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages