Waziri
wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias Chikawe
(kulia) akitazama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 4
iliyotolewa na Vodacom Tanzania kwa bingwa wa mashindano ya kombe la
Muungano Mufindi timu ya Holly Family ya Ruvuma leo. Wengine pichani ni
meneja wa Vodacom Tanzania mikoa ya kusini Jackson Kiswaga na mratibu
wa mashindano hayo Daud Yasin.
Waziri
wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias Chikawe
(kushoto) akisalimiana na mdau wa soka mkoa wa Iringa Feisal Asas
katika viwanja vya shule ya msingi Igowole leo wakati wa fainali ya
kombe la Vodacom Muungano Cup
Waziri
wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias
Chikawe(katikati) akitambulishwa na mratibu wa kombe la Muungano
Mufindi Daud Yasin kwa meneja wa Vodacom mikoa ya kusini Bw Jackson
Kiswaga
Credits: Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)