Jiwe La Msingi Lililofunguliwa Na Rais Jakaya Kikwete Katika Uzinduzi Wa Chuo Kikuu Cha DODOMA Jana
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal na Rais Mstaafu awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa wakikata utepe kuashiria kuazindua rasmi Chuo Kikuu cha Dodoma leo mchana.Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ndiye Mkuu wa chuo cha Dodoma, na Dk. Bilal ni Mwenyekiti wa kwanza wa Chuo hicho. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Raisi Jakaya Kikwete Akisalimiana Na Baadhi Ya Wanafunzi Wa UDOM
Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete Akirudi Kwenye Gari Mara Baada Ya Kusalimiana Na Baadhi Ya Wanafunzi Hapo Jana
Wadau hawakua Nyuma Nao Kama Wanavyoonekana karibu na Jiwe La Msingi








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)