UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban akizingumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na uzinduzi wa Mfumo wa Uimarishaji wa usajili wa taarifa vitambulisho vya Mzanzibar (ZAN ID) na Ofisi za Wilaya na Mkoa uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 4-9-2018 katika Wilaya ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika Wilaya ya Kati Dunga. Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwanasheria wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, Hamid Haji Machano akijibu na kutowa ufafanuzi wa maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la uzinduzi wa usajili wa Vitambulisho vya mzanzibar kwa njia ya kisasa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages