![]() |
| Mmoja wa maofisa wa Benki ya NMB (kulia) akimfafanulia jambo mteja aliyetembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Mteja wa Benki ya NMB akipata huduma katika Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Wateja waliotembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam wakipata huduma anuai za kibenki. |
![]() |
| Mmoja wa maofisa wa Benki ya NMB (kulia) akimfafanulia jambo mteja aliyetembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Muonekano wa Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Kikosi kazi cha Benki ya NMB kinachotoa huduma ndani ya Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam katika pozi. |

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)