Rais na Muasisi wa TWA Irene Kiwia akizungumza kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na taasisi ya TWA leo jijini Dar Es Salaam |
Mtoa mada, Anna Chonjo Mariki kutoka Rex & Regina Attorneys akifafanua jambo kwa watoa mada wenzake kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam |
Mama Zakia Meghji akizungumza jambo kwa wageni waalikwa |
Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment akizungumza kwa wageni waalikwa |
wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini utoaji wa Tuzo |
Washindi wote wakiwa kwenye picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)