Watoto wa kifurahia na kula mkate uliopakwa siagi ya blue band mpya yenye vurutubishi vya omega 3 na 6 vinayvyoboresha afya katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliofanyika Dar es salaam
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Unilever Tanzania, Mr Akofa Ata akielezea jinsi Kampuni ya Unilever inavyochagia juhudi za kuogeza viwango vya lishe bora katika kongamano la kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika illioandaliwa na Shirika la Sema Tanzania,
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)