Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), alipofika ofisini kwake kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo
hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), akizungumza na Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipofika ofisini kwa waziri
kujadili masuala ya wakimbizi
wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali
nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza
mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya
pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto) ,baada ya kumaliza mazungumzo
yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka
wizarani hapo, Harrison Mseke.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es
Salaam.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)