| Baadhi ya askari wanawake walioshiriki mazoezi leo uwanja wa Samora Iringa |
| Wanawake na wananchi wakitoka uwanja wa samora katika mazoezi leo |
| Mazoezi kwa afya yako |
| Mmoja ya wanajeshi Bw Kimbavala aliyeshiriki kutoa mazoezio leo |
| DC Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tanesco Iringa walioshiriki mazoezi |
| Mazoezi yakiendelea kwa wote |
| RC Iringa wa tatu kushoto akifuatiwa na mbunge Kabati |
| RC akionyesha uwezo katika mazoezi |
| DC Richard Kasesela akiwajibika katika mazoezi |
| Kasesela akionyesha mazoezi leo uwanja wa samora Iringa |
![]() |
| Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingileki katikati akishiriki mazoezi |
![]() |
| Baadhi ya maofisa watendaji kata wakiwa katika mazoezi |
![]() |
| vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa nanvyo vyashiriki mazoezi kwa kuzunguka mtaani mji wa Iringa |
![]() |
| RPC Julius Mjengi kulia akiongoza mazoezi kwa askari polisi na majeshi mengine mkoa wa Iringa |
![]() |
| Ni mazoezi kwa wote mkoa wa Iringa Picha zote na MatukiodaimaBlog |


















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)