Baadhi ya askari wanawake walioshiriki mazoezi leo uwanja wa Samora Iringa |
Wanawake na wananchi wakitoka uwanja wa samora katika mazoezi leo |
Mazoezi kwa afya yako |
Mmoja ya wanajeshi Bw Kimbavala aliyeshiriki kutoa mazoezio leo |
DC Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tanesco Iringa walioshiriki mazoezi |
Mazoezi yakiendelea kwa wote |
RC Iringa wa tatu kushoto akifuatiwa na mbunge Kabati |
RC akionyesha uwezo katika mazoezi |
DC Richard Kasesela akiwajibika katika mazoezi |
Kasesela akionyesha mazoezi leo uwanja wa samora Iringa |
Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingileki katikati akishiriki mazoezi |
Baadhi ya maofisa watendaji kata wakiwa katika mazoezi |
vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa nanvyo vyashiriki mazoezi kwa kuzunguka mtaani mji wa Iringa |
RPC Julius Mjengi kulia akiongoza mazoezi kwa askari polisi na majeshi mengine mkoa wa Iringa |
Ni mazoezi kwa wote mkoa wa Iringa Picha zote na MatukiodaimaBlog |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)