PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUTHIBITISHA KUWA KAFA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUTHIBITISHA KUWA KAFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoaching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Disemba 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages