UBA BANK YAMSAKA MDAIWA WAKE ABDALLAH TWAHIB SONGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UBA BANK YAMSAKA MDAIWA WAKE ABDALLAH TWAHIB SONGORO

“United Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ABDALLAH TWAIB SONGORO wa GREAT AFRICA LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 168/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba………

Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano



Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages