
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya uliofanyika kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)