Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo (katikati) wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi. Baadhi ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Baadhi ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Baadhi ya wakandarasi wakipata huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Baadhi ya wakandarasi wakipata huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa huduma kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)