Ni Kisa cha kusisimua cha familia ya kihindi iliyohamia nchini England, lakini mmoja wao anapata kansa na kufariki, Je nini kitatokea? Basi fuatilia kupitia channel ya ST Bollywood Swahili kuanzia saa 4 usiku
Chanel ya ST Bollywood swahili inapatikana kwenye ving'amuzi vya startimes Pekee........
Kwa taarifa na ratiba zaidi ya Vipindi tufuate katika ukurasa wetu wa Facebook Startimes Tanzania na katika ukurasa wetu wa Instagram Startimestz
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)