Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kushoto) akimpatia vipeperushi mbalimbali vinavyotoa Elimu ya maelezo kuhusu huduma za Sekta ya Ardhi Nchini, Dereva mwenye Gari lenye namba za usajili T 632 BXD, maeneo ya Zakhiem, Jijini Dar es Salaam
Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kulia) akimpatia vipeperushi mbalimbali mkazi wa Mbagala Chemchem, Kasim Bahari (kushoto) baada ya kumpa Elimu ya mumhamasisha jinsi ya kuona umuhimu wa kulipa kodi ya pango la Ardhi, Dar es Salaam. wakatikati ni Afisa habari wa Wizara hiyo, Hassan Mabuye
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Mboza Lwandiko akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhamasisha wananchi kuhusiana na ulipaji wa Pango la Ardhi maeneo ya Mbagala Zakhiem
Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema
Isango (kulia) akiwapatia Wananchi vipeperushi baada ya kuwaelimisha kuhusiana na mambo mambo mbalimbali na kuwapa Elimu ya maelezo kuhusu
huduma za Sekta ya Ardhi Nchini na kuwapa elimu ya ulipaji kodi za viwanja na makazi , maeneo ya Zakhiem, Jijini Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)