
mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara
baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa
pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote
hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania
baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa
pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote
hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania

mmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilo

wa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae aliuthuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini

wazee wa gwasuma wakiwa kazini





Mwandaaji wa shindano hilo wa kwanza kulia akiwa ana show love na a shabiki wake


Meneja wa mkoa wa Arusha kampuni ya Bima ya Britam naye aliuthuria katika show hiyo ya kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini






wasani wa muziki wa kufokafoka nao waliuthuria usiku huu wa kumsaka mrembo wa kanda yakaskazini

mweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye aliuthuria katika show hiyo







hawa ndio majaji waliokuwepo siku hiyo

Muaandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioingia walishinda siku hiyo


Rais wa Bendi ya FM Academia (wazee wa Gwasuma ) akiwa anaonyesha mambo yake ndani ya onyesho hilo

wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya GEO Security ambaye pia ni mthamini wa shindano hilo akifuatilia show ya Fm Academia

wakurugenzi wa hotel ya Clous View ambao nao ni wathamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi

Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)