TBL Mbeya family Day ilikua kisima cha burudani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL Mbeya family Day ilikua kisima cha burudani

 Vuta ni kuvute ikiendelea
 haya vuta ni kuvute hapo 
 kama kuku huyo
 TBL Mbeya Family Day  ilikuwa kisima cha burudani ambapo wafanyakazi na familia walipata burudani za kila aina kuanzia michezo,kucheza muziki,maakuli bila kusahau kupata vinywaji
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group mkoani Mbeya walijumuika pamoja na familia zao na marafiki katika siku ya familia iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ifisi.


Siku hii ambayo kwa kampuni ni muhimu huandaliwa katika viwanda vya TBL Group katika mikoa yote ambapo wafanyakazi hupata muda wa kupumzisha akili zao kwa kupata burudani mbalimbali wakiwa na familia zao ambapo pia hukutanisha familia za wafanyakazi pamoja na kufurahi  na kuzidi kuwa wamoja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages