Pages

Wafanyakazi TBL Group wapima afya zao

Wafanyakazi wakipima afya zao katika zoezi hilo
Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.Zoezi  hili limefanyika katika kiwanda cha TBL  kilichopo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)