Wafanyakazi wakipima afya zao katika zoezi hilo
Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.Zoezi hili limefanyika katika kiwanda cha TBL kilichopo jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)