Gari lenye namba za usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya Saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)