Pages

GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSABABISHA MAJERUHI WATATU


Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka  (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi  
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga  kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya  Saa 2 usiku jana  eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam  PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)