Mtanzania Kokugonza ang'ara kwenye Series ya EMPIRE. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mtanzania Kokugonza ang'ara kwenye Series ya EMPIRE.


KOKU.jpg 
Koku Gonza

Hatimaye Tanzania imeendelea kumake headline tena katika nyanja za kimataifa huku safari hii Tanzania ikijipenyeza katika Filamu. Mara baada ya Samatta Mbwana kuiteka dunia sasa ni zamu ya Mtanzania wa Kike aliyeonekana katika Tamthilia ya EMPIRE ambayo imeingia katika Season ya 4. Mtanzania huyo aitwaye Kokugonza ameonekana kwenye moja ya scene akimfundisha mwigizaji mwenzake kucheza na Piano. Koku gonza ni mmoja ya msanii wa Kike anayeishi Nchini Marekani huku akiwa na uwezo wa kupiga Piano kwa ufasaha na ustadi wa hali ya juu.

12472352_10205490705336479_2705412072019449767_n-200x200.jpg 
Koku Gonza akiwa na muigizaji mwenzie Hakeem.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages