Mobisol yaingia Bagamoyo kwa kishindo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mobisol yaingia Bagamoyo kwa kishindo

 Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Bw.David Kaijunga ambaye ni Afisa Misitu wa Wilaya hiyo akikata utepe kuzindua kituo cha mauzo cha kampuni inayotoa umeme wa jua ya Mobisol Tanzania mwishoni mwa wiki.

 Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Afisa Mazingira na Misitu wa wilaya ya Bagamoyo,Bw.David Kaijunga(kulia) akipata maelezo baada ya kuzindua kituo cha mauzo na usambazaji cha Mobisol kutoka kwa msimamizi wa tawi la Mobisol Bagamoyo  Gladness Mlalatu( (kushoto) 
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo David Kaijunga (kushoto)   akiongea  mara baada ya Kuzindua ofisi ya Mobisol wengine pichani kutoka kulia ni Meneja Maendeleo wa kampuni hiyo, Saad Lattf, Ofisa Mkuu Mwendeshaji Henrik Axelsson na Meneja  Mauzo Tanzania  Joseph Zikheli 
Mwenyekiti wa Bodi ya  na Mshauri wa Kampuni ya Mobisol akihutubia wageni waalikwa
Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Kampuni ya Mobisol, Henrik Axelsson (kushoto) akimuonyesha  Afisa Maliasili na Mazingira wa wilaya ya Bagamoyo, David Kaijunga  (Kulia) moja ya Televisheni inayotumia  umeme wa jua unaosambazwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi zake Wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki,wengine pichani ni maofisa wa kampuni hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mobisol  wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa ofisi za kampuni hiyo Wilayani Bagamoyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages