Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Bw.David Kaijunga ambaye ni Afisa Misitu wa Wilaya hiyo akikata utepe kuzindua kituo cha mauzo cha kampuni inayotoa umeme wa jua ya Mobisol Tanzania mwishoni mwa wiki.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Afisa Mazingira na Misitu wa wilaya ya Bagamoyo,Bw.David Kaijunga(kulia) akipata maelezo baada ya kuzindua kituo cha mauzo na usambazaji cha Mobisol kutoka kwa msimamizi wa tawi la Mobisol Bagamoyo Gladness Mlalatu( (kushoto)
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo David Kaijunga (kushoto) akiongea mara baada ya Kuzindua ofisi ya Mobisol wengine pichani kutoka kulia ni Meneja Maendeleo wa kampuni hiyo, Saad Lattf, Ofisa Mkuu Mwendeshaji Henrik Axelsson na Meneja Mauzo Tanzania Joseph Zikheli
Mwenyekiti wa Bodi ya na Mshauri wa Kampuni ya Mobisol akihutubia wageni waalikwa
Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Kampuni ya Mobisol, Henrik Axelsson (kushoto) akimuonyesha Afisa Maliasili na Mazingira wa wilaya ya Bagamoyo, David Kaijunga (Kulia) moja ya Televisheni inayotumia umeme wa jua unaosambazwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi zake Wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki,wengine pichani ni maofisa wa kampuni hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mobisol wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa ofisi za kampuni hiyo Wilayani Bagamoyo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)