MADAKTARI NA WAUGUZI JIJINI ARUSHA WAFIKIWA NA LANCET TANZANIA LTD,YAFUNGUA MAABARA YA KISASA JIJINI ARUSHA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MADAKTARI NA WAUGUZI JIJINI ARUSHA WAFIKIWA NA LANCET TANZANIA LTD,YAFUNGUA MAABARA YA KISASA JIJINI ARUSHA.

IMG_9121+%25281280x853%2529 Mtafiti wa magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi kutoka katika Hospitali mbalimbali za jijini Arusha,wakati wa warsha iliyofanyika katika jengo ilipo Benki ya ABC.
IMG_9095+%25281280x853%2529
IMG_9097+%25281280x853%2529 Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitali mbalimbali za jijini Arusha wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi (hayupo pichani)
IMG_9119+%25281280x853%2529 Mtafiti Dkt Kalebi akizungumza juu ya ugonjwa a kisukari namna ambavyo umekuwa ukiwasumbua watu wengi kwa sasa.
IMG_9105+%25281280x853%2529
IMG_9122+%25281280x853%2529 Madaktari na wauguzi wakifuatilia mada.
IMG_9135+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9126+%25281280x853%2529
IMG_9143+%25281280x853%2529 Dkt Kalebi akisikiliza maswali kutoka madaktari mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu magonjwa mbalimbali 
IMG_9154+%25281280x853%2529 Mganga Mfawidhi wa Hosptali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru ,Dkt Jackline Urioh akizungumza namna ambavyo watashirikiana na Lancet Tanzania Ltd katika kutumia maabara ya kisasa iliyofunguliwa jijini Arusha kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
IMG_9164+%25281280x853%2529 Mtafiti Dkt Ahmed Kalebi (kulia) akimshukuru mganga mfawidhi Dkt Jackline Urioh mara baada ya kutoa neno kwa niaba ya mganga mkuu wa mkoa katika warsha hiyo iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet.
IMG_9141+%25281280x853%2529 Mmoja wa Madaktari waliohudhuria warsha hiyo akiuliza swali .
IMG_9167+%25281280x853%2529+%25282%2529 Washiriki wa warsha hiyo wakifurahia jambo mara baada ya kupata maelezo mbalimbali kuhusu magonjwa ya Saratani na Kisukari.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages