Mzee Joseph Rwegasira afariki dunia, mazishi kufanyika Bukoba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mzee Joseph Rwegasira afariki dunia, mazishi kufanyika Bukoba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Pwani na baadaye balozi wa Tanzania nchini Zambia halafu akawa Waziri wa viwanda na Biashara, na baadaye waziri wa Kazi na mwisho Waziri wa mambo ya nchi za nje, Ndugu Joseph Clemence Rwegasira amefariki dunia leo saa kumi alfajiri.Mzee Rwegasira alizaliwa tarehe 21/03/1935.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages