Maofisa wa JICA wafanya ziara kiwanda cha TBL Dar es salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Maofisa wa JICA wafanya ziara kiwanda cha TBL Dar es salaam

 Meneja  wa  kiwanda cha bia cha Dar es Salaam cha TBL ambacho kiko chini ya TBL Group ,Calvin Martin (kulia) akitoa maelezo kwa mtaalam  wa JICA ya Japan tawi la  Tanzania, Isao Akilio (katikati) juu ya uzalishaji wa bia mbalimbali zinanazozalishwa  katika kiwanda hicho wakati maafisa  wa JICA walipopofanya ziara ya kikazi  kiwandani hapo. Kushoto ni  Afisa Mwandamizi wa Uzalishaji wa TBL Charles Mkondola.
 Meneja kiwanda cha bia cha  TBL cha Dar es Salaam ambacho kiko chini ya kampuni ya TBL Group ,Calvin Martin ( watatu kutoka kulia) akitoa maelezo kuhusiana na uzalishaji wa bia unavyofanyika   kwa baadhi ya maafisa wa  JICA Tanzania,  wakati walipotembelea  kiwanda hicho Ilala Dar es Salaam
 Baadhi ya maafisa kutoka JICA Tanzania  wakisoma wakiangalia kwa umakini hatua za uzalishaji   wakati walipofanya ziara ya kikazi kwenye  kiwanda cha bia kilichopo  Ilala Dar es Salaam.
 Afisa Mwandamizi wa  uzalishaji wa Kampuni ya bia Tanzania  Charles Mkondola akitoa  maelezo kwa Mshauri wa Mipango wa JICA Tanzania, Jiro Makimoto  wakati maafisa wa JICA walipofanya ziara kwenye kiwanda cha kutengenezeza bia cha  Ilala jijini Dar es Salaam
 
 Maofisa wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Maofisa wa JICA Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya  kukamilika kwa ziara ya kikazi ya maofisa wa JICA kutembelea kiwanda cha bia cha Ilala

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages