Meneja wa
kiwanda cha bia cha Dar es Salaam cha TBL ambacho kiko chini ya TBL
Group ,Calvin Martin (kulia) akitoa maelezo kwa mtaalam wa JICA
ya Japan tawi la Tanzania, Isao Akilio (katikati) juu ya uzalishaji wa bia mbalimbali zinanazozalishwa
katika kiwanda hicho wakati maafisa wa JICA walipopofanya ziara ya kikazi kiwandani hapo. Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Uzalishaji wa TBL Charles
Mkondola.
Meneja kiwanda cha bia cha TBL cha Dar
es Salaam ambacho kiko chini ya kampuni ya TBL Group ,Calvin Martin ( watatu
kutoka kulia) akitoa maelezo kuhusiana na uzalishaji wa bia unavyofanyika kwa baadhi ya maafisa wa JICA Tanzania, wakati walipotembelea kiwanda hicho Ilala Dar es Salaam
Baadhi ya maafisa kutoka JICA Tanzania
wakisoma wakiangalia kwa umakini hatua za uzalishaji wakati walipofanya ziara ya kikazi
kwenye kiwanda cha bia kilichopo Ilala Dar es Salaam.
Afisa
Mwandamizi wa uzalishaji wa Kampuni ya
bia Tanzania Charles Mkondola akitoa maelezo kwa Mshauri wa Mipango wa JICA
Tanzania, Jiro Makimoto wakati maafisa
wa JICA walipofanya ziara kwenye kiwanda cha kutengenezeza bia cha Ilala jijini Dar es Salaam
Maofisa
wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Maofisa wa JICA Tanzania wakiwa kwenye
picha ya pamoja baada ya kukamilika kwa
ziara ya kikazi ya maofisa wa JICA kutembelea kiwanda cha bia cha Ilala
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)