Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dalaam tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Baadhi wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwa katika chumba cha mahakama ya Kisutu tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, wapili kulia ni aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika hilo, Mhandisi Kapallo Kisamfu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)