Pages

Taswiraz tofauti tofauti

 Umati wa watu uliojaa mtaani wakishuhudia bint mwenye matatizo ya akili Sinina Maliki akipigwa   na bint wa mitaa hiyo ya Katandala eneo la kibirizi Asha Kigwiza , Mkoani kigoma. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Sinina Maliki akiwa ameshikiliwa na wasamalia wema baada ya kuchezea kipigo na walio mshika bin huyo nawao walichezea kipigo toka kwa bint wa miataa hiyo Asha Kigwiza
 Wananchi wa Kijiji cha Usindi Wilaya ya Kaliua wakilitazama tela la Gari lenye kichwa chenye namba za usajili T282 ALM la kampuni ya vinywaji aina ya kokakola



Kijana Eflahim Maksoni alitembea juu ya Reli akiwa amepanda baiskeli maeneo ya Nguruka Mkoani Kigona
 Baadhi ya Abiria wakiteremka toka ndani ya Basi la Saratola likitokea Nguruka Kigoma na kushushia kwenye Kituo kipya cha mabasi kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma
kijana mwendesha baiskeli akiwa amewapakia watoto wawili wakiwa katika staili maeneo ya Nguruka Relini wakielekea majumbani ambapo majina ya haya kupatikana mara moja
 Wafanya biashara wa chunvi wakiwauzia Abiria waliokuwa wakiwafiri na Basi lililokuwa likitoka Nguruka kuelekea Kigoma


 Mwenyekiti wa Mtaa Sido na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kataa Murubona akiwa na wafuasi wake juzi  waliomsindikiza Ofisi ya chama Wilaya iliyopo kataa ya Kusenga wilaya ya Kasulu Mkoa wakitoka kupeleka malalamiko baada ya kumshinda mwenzake katika kura za maoni ambapo yeye alipata kura 183 na mpinzani mwenzake kupata kura 139 katika kinyanganyiro kura za maoni na hatimaye ushindi kupewa mwenzake
 Wakichota maji eneo la Kaliua katika kituo cha mabasi
Wananchi wakikata  tiketi katika kituo kipya cha Stendi ya mabasi ya Mikoani kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma, ambapokuingia huingia na kutoka huwalazimu kutowa sh. 200.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)