Pages

GARI LAACHA NJIA NA KUANGUKA KAKONKO

 Gari lenye usajili  T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani  Kigoma , ambalolilikuwa limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo  kuhamishiwa   katika gari jingine. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani.
 Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili  T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)