Pages

News Alert:Polisi Wilayani Mwanga Wazuia Msafara wa Lowassa uliokuwa Ukielekea Msibani

 Polisi wa Mwanga wamezuia msafara wa Mhe.Lowassa katika kijiji cha Maroro wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana na Mhe.Mbatia, Mhe Ndesamburo na Mhe. Augustino Mrema waakti ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)