News Alert: Watu wanne wapoteza maisha katika ajali iliyotokea hivi punde mjini Moshi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert: Watu wanne wapoteza maisha katika ajali iliyotokea hivi punde mjini Moshi

 Watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
 Fuso likiwa limeharibika vibaya kuytoka na ajali hiyo


Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages