News Alert : Banza Stone afariki dunia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert : Banza Stone afariki dunia

Mwanamuziki Ramadhani Masanja almaarufu Banza Stone enzi za Uhai wake

Baada ya kuzushiwa kifo takribani mwezi mmoja uliopita Mwanamuziki wa dansi nchini Tanzania Ramadhani Masanja ajulikanae kwa jina la Banza Stone amefariki dunia mapema ya leo mara baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Taarifa zaidi za Msiba tutaendelea kuwajuza. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages