Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias
Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt.  Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani  Afrika.
 Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika  mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika  unaoendelea jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue na wajumbe wengine wakifuatilia  mada zinazowasilishwa katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma  wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika jijini Dar es Salaam.
 Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Kuwe Bakari na wajumbe wengine  wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma  wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika.
 Sekretariet inayohudumia mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages