Pages

MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA, AZIKWA KILIMANJARO LEO

Wafanyakazi wa Global Publishers wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Robert Tillya wakati wa maziko Uru-Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Watoto wa marehemu, Getruda na Niveti wakiweka shada la maua.
Mwili wa marehemu Robert Tillya ukishushwa kaburini.
...Jeneza likiwekwa sawa.
Padri akiendesha misa ya mazishi.
Ndugu, jamaa na wafanyakazi wa Global wakifukia kaburi.
Mtoto wa marehemu, Niveti, akiweka mchanga.
Wafanyakazi wa Global wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maziko.
Mke wa marehemu, Daya, akisaidiwa baada ya mazishi.
Baba wa marehemu, Ridoch Tillya (kushoto) akiwa na mtoto wa marehemu, Niveti. Kulia ni baba mkubwa wa marehemu Mzee Tillya akiwa na mtoto mkubwa wa marehemu.
(PICHA: RICHAR BUKOS/GPL)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)