Pages

Live Streaming: Dakika ya 62 Danny Welbeck anaipatia Arsenal goli la 2 .Man U 1 vs Arsenal 2 mpira kipindi cha pili

Arsenal-FA-Cup
Dakika ya 62 kipindi cha pili mchezaji wa zamani wa Man U D.Welbeck ameiandikia timu yake ya Arsenal goli la 2 na kupelekea kubadili matokeo na kusomeka Arsenal 2vs Man U
Katika Mchezo huu wa robo fainali Wachezaji wa 4 wa Man U wamezawadiwa kadi ya njano huku Mchezaji mmoja wa Arsenal akipewa zawadi kama hiyo.
Hivi sasa ni dakika ya 72 matokeo ni Arsenal 2 Man 1

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)