Pages

Live Streaming: Na mpira umekwisha...Arsenal aichapa Man U Goli 2 Kwa 1, Welbeck ang'ara

Arsenal-FA-Cup
Na mpira umekwisha kwa timu ya Arsenal kuibuka bingwa kwa kuichapa Man u magoli 2 kwa 1 katika Mchezo wa robo fainali ya FA.
Mechi ya robo fainali kombe la FA ni Man U na Arsenal mpaka dakika ya 45  Matokeo ni 1 kwa 1 huku. Timu ya Arsenal ndio imekuwa ya kwanza kuchungulia nyavu za Man U katika dakika ya 26 kipindi cha Kwanza kupitia mchezaji wake Nacho Monreal dakika tatu mbele Mchezaji wa Man U Wayne Rooney akaipatia timu yake goli la kusawazisha na kufanya ubao wa matangazo kusomeka Man U 1 vs Arsenal 1.Dakika ya 62 kipindi cha pili mchezaji wa zamani wa Man U D.Welbeck ameiandikia timu yake ya Arsenal goli la 2 na kupelekea kubadili matokeo na kusomeka Arsenal 2vs Man U
Katika Mchezo huu wa robo fainali Wachezaji wa 4 wa Man U wamezawadiwa kadi ya njano huku Mchezaji mmoja wa Arsenal akipewa zawadi kama hiyo.
Na mpira umekwisha matokeo ni Arsenal 2 Man 1

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)