Pages

Live Streaming: Man U 1 vs Arsenal 1 mpira kipindi cha kwanza

Arsenal-FA-Cup
Mechi ya robo fainali kombe la FA ni Man U na Arsenal mpaka sasa Matokeo ni 1 kwa 1 huku. Timu ya Arsenal ndio imekuwa ya kwanza kuchungulia nyavu za Man U katika dakika ya 26 kipindi cha Kwanza kupitia mchezaji wake Nacho Monreal dakika tatu mbele Mchezaji wa Man U Wayne Rooney akaipatia timu yake goli la kusawazisha na kufanya ubao wa matangazo kusomeka Man U 1 vs Arsenal 1.
Hivi sasa ni dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)