Watu sita wa familia moja wanaelezwa kufa katika ajali ya moto huko, Kipunguni-Ukonga jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu
Habari za awali kutoka eneo la tukio zinapasha kuwa waliofikwa na msiba huo ni ni david Mpila na mkewe Celina Mpila pamoja na watoto wao kuwa chanzo cha moto huo inaweza kuwa hitalafu ya umeme. Picha kwa hisani ya TBN
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)