Jeshi la China laingia Sudan Kusini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Jeshi la China laingia Sudan Kusini

Wanajeshi wa Uchina waingia Sudan kusini kuweka amani
Uchina imesema kuwa kikosi chake kwa kwanza maalum cha kijeshi kilichojumuishwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa mataifa kimeanza shughuli zake nchini Sudan kusini.
Katika kipindi cha majuma machache yajayo, jumla ya wachina mia saba watawasili nchini humo .
Watakuwa na ndege zisizokua na rubani, vifaru na makombora.
Uchina haijawahi kuwatuma maelfu ya walinda amani , lakini imekuwa zaidi ikitoa misaada kwa ajili ya amani. .Chanzo BBC Swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages